Katika hali isiyokuwa ya kutegemewa na wengi. Rais Magufuli, jana aliibukia ktk benki ya CRDB tawi Holand House jijini Dsm kupata huduma za kibenki kama wateja wengine. Tukio hilo lilitokea jana saa 5 asubuhi ambapo alifika eneo hilo akiwa kwenye gari ambalo halina bendera ya Rais huku likiwa na namba za kawaida (T 182 DFQ) na hivyo kuwa ngumu kumtambua.
No comments:
Post a Comment